JK AONGOZA SHEREHE ZA MUUNGANO ZANZIBAR
Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa tanzania leo; akiwaongoza maelfu ya watanzania huko Zanzibar; katika sherehe za miaka 47 ya Muungano. Muungano huo hata hivyo bado unalalamikiawa kuwa na mapungufu fulani ya kimuundo na kisheria. Huenda Matatizo haya yatatatuliwa na katiba mpya.
No comments:
Post a Comment