Jaji wa
Mahakama kuu Kanda ya Mwanza Mhe. Jaji Mruma hivi punde amepiga stop uchaguzi
wa TFF usifanyike mpaka pale kesi ya msingi iliyofungukiwa na Bwana Richard
Julius Rukambura dhidi ya Tanzania football federation, shauri namba 1 ya mwaka
2013.
Katika shauri
hilo Mlalamikaji Richard Julius Rukambura alijiwakilisha yeye mwenyewe na
Mlalamikiwa yaan TFF, aliwakilishwa na Wakili Maaarufu Bwana Mgongolwa. Aidha Mheshimiwa jaji aliwaamu
No comments:
Post a Comment